Uislamu nchini Ethiopia

Uislamu kwa nchi

Uislamu nchini Ethiopia ni dini ya pili kwa wingi wa waumini ambayo inafuatwa sana baada ya Ukristo.

Kwa mujibu wa sensa ya taifa ya mwaka wa 2007, kuna waumini zaidi ya milioni 25 (au 34% ya wakazi wote) ambao ni Waislamiu.[1] 

Uislamu ni dini yenye kundi la watu wengi ambao ni Wasomali, Wafar, Wargobba, Waharari, Waberta, Walaba, na Wasilt'e; pia wafuasi wengi miongoni mwao ni Wagurage na Waoromo.

  1. Population and Housing Census Report-Country - 2007, Central Statistical Agency, 2010-07 Archived 10 Februari 2016 at the Wayback Machine., Table 3.3.

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne